Mradi wa kilimo wa Tanzania Islamic Centre, ambao umefanyika hivi karibuni, Kwa majaribio(Pilot project), umeonesha mafanikio makubwa. Mradi huo unaofanyika Gezaulole umeshirikisha wataalamu wa mbolea zisizo na kemikali wajulikanao kama Greengrower Organic Fertilizer Tanzania LTD.
Projects
Mradi wa Kilimo







School (Nursery and Primary school)





